Temba wa wanaume family

njaa mbaya kula ugali, ikifika utaona dunia inazungurukaaa..
njaa mbaya kula ugali, mama mwenye nyumba nae analalamika..
 
like this
 
kuna mambo mengi ambayo watu huyafanya kama style 'swagga' zao either kwa mazoea au kuona kwamba ni jambo muhimu kwao au ni kutafuta attention. Kwa mf. RickRoss ana madevu mengi wengine huona ni uchafu, ice cube anafanya cross fingers kila mara wengine huona huu ni ushabiki wa kizamani, lil wayne hujichora tattoo kila mahali na hushusha sana suruali (sag) wengine husema ni utoto, wengine huning'iniza vitambaa kwenye mifuko ya nyuma ya jeans, wengine huvaa ribbon japo sio athlete, wengine huweka meno ya grills eg prezzo, wengine hutoga ukimi, kitovu mpaka downstairs eg ray c, wengine huvaa sunglasses hata usiku, wengine huvaa cowbow hat kila wasaa eg Museveni, wengine huvaa memory stick shongoni kila wakti kama cheni, wengine huvaa vitambulisho vya kazi hata wakiwa mtaani, wengine hutembea na begi mgongoni kila wakati hata kama hakuna cha kubeba n.k ni vijimambo tu..
 

hahahahaha nimekugongea like kaka hahhahahahah mambo ya mapokopoko njari vyapati vyuisi makulaji makachumbari hahahahah jamaa wanamindi mamisosi kinoma ahahahahahah
 
....ukizubaa utakula stori ...ukikataa kutumwa huli utaambulia harufu ya ng'onda na kulamba vibakuli
Lete wali wa nazi, Imma lete pilau. Inspekta unga robo
Mchana huo ushafika nahangaika na msosi wa mchana ...
....ni ugali na mapokopoko ukichelewa kwenu watu wanajiweka, kwenye mkeka, wanakula kila kitu unga robo, nature
 
Mm pia simpendi..sio kwa sababu ya kijiti mdomoni..ila kwa sababu hajui kuchana! halafu anajiita rapper! nyimbo zao na yule mwenzie chegge! sijui ni mdundiko, kiduku, au chakacha! midundo na tone zilizomo haitambulishi aina ya muziki wanaoimba!

Ukiulizwa muziki wa Tanzania uko je, utajibu nini. Muziki wa Tz ni kuimba upentavyo wewe msanii. Htuna muziki maalum. Wenye micheni ya ya KICHINA mbona hamuwatazami??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…