Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Unapotembea unajifunza na kufurahisha Akili. Maisha ni Kufurahi kile kidogo ambacho Mungu amekujaria Sema Asante, ikiwa wewe ni Mkristo/ Muilsmu au Mtu usie na Dini, ila unaamini ktk Mungu Furahi na Kutembea Sehemu ambazo unaona unaweza Fika, Jana Na Leo Nipo Kabwe, MBEYA, nimefurahi kua hapa, na panapo Majariwa ntaenda Sehemu ingine kutembea tu nakuipa Furaha akili yangu kwa kuona mandhari tofauti.
Hapa kabwe Kuna kibanda cha kahawa nimekunywa kahawa....Washikaji wa Njiro(Relini)Wiki iliopita Nimefurahi kua pale mwendo wa kuzurula tu.
Nafasi ikipatikana tunaenda kutembea Sehemu Zingine sio lazima kwenda kwa Ndugu/ Marafiki unaenda mikoa mwingine kabisa na nyumbani.