Huyo jamaa ni mtunzi wa stori za uongo uongo sana.Eric Shigongo katembelEa marekani anakwambia tanzania ina unafuhuu kuliko USA.
Sababu alizosema.
1.Uchumi wa tanzania
2.Uwezo wa kijeshi na teknolojia.
3.Ujasusi ambao hata yule anayezamini m23 awezi kutufikia.
nipo na msikiliza hapa Erick shigongo kuelekea 2025
Kama kile kitabu chake yani raisi anamtaka mke wake ndio nikaona kuwa jamaa ni muongo sana.Huyo jamaa ni mtunzi wa stori za uongo uongo sana.
Usipoteze muda wako kumsikilliza mlokole aliyejawa fix za jumla.