Replies JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,497 Reaction score 452 Apr 24, 2014 #1 Wadau walioko kwenye mtandao wa instragram,tembelea page yetu hapo upate mwongozo kuhusu KILIMO biashara.Ununuzi uuzaji na ushauri wa maswala ya KILIMO na UFUGAJI Kwa ujumla. Asante
Wadau walioko kwenye mtandao wa instragram,tembelea page yetu hapo upate mwongozo kuhusu KILIMO biashara.Ununuzi uuzaji na ushauri wa maswala ya KILIMO na UFUGAJI Kwa ujumla. Asante
A allina Member Joined Mar 7, 2014 Posts 76 Reaction score 13 Apr 24, 2014 #2 toeni maelezo vizuri wakuu..
BABU CHONDO JF-Expert Member Joined Jun 6, 2011 Posts 855 Reaction score 139 Apr 24, 2014 #3 Muongozo unatokea huku kule ni kisiwa cha matukio ya umbea kwa siku nzima.
Replies JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,497 Reaction score 452 Apr 25, 2014 Thread starter #4 Wewe umesema hivyo in the midst of umbea na Matukio business can be done as well