Tembo aina hiyo hawapatikani kabisa Barani Afrika

Wapo morogoro wanaishi na watu vizuri sana...

Ila mademu wenye vishundu utawaona kweny video za tiktok. cha ajabu mtaani kwenu na mitaa unayopita hawapo. .
Walikuwepo, zamani mikumi hotel wakati inafanya kazi haijaungua, mpaka walikuwa na majina, na mkumbuka tembo Joseph.
 
Majani kama hayo yanapatikana vichaka vya UDSM karibu na ofisi ya mkuu wa chuo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…