Tembo mwenye miguu mitatu

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,299
Katika pitapita zangu nimeshangaa kumuona Tembo mwenye miguu mitatu! Je nyie mlishawahi kuona haya maajabu?
 
We umemwona wapi kama sio umbea tu huo? hii ni 3G mtu wangu an era of proove sio ndoto na utoto, weka hapa PICTURE watu wakuamini sio pita pita yako, je kama umeota au unataka kuaminisha watu bila PROOF kama sera za CCM?
 
Katika pitapita zangu nimeshangaa kumuona Tembo mwenye miguu mitatu! Je nyie mlishawahi kuona haya maajabu?

Umepita wapi mzee, kwenye mtandao? no picture, mbuga za wanyama tungeona hata kwenye TV au umepita ndotoni mkuu? Prove your PITA PITA mzee hapa...we dare to talk openly...ukidanganya JF sheria itakuban mzee...mods fanya kazi yako hana prove huyu....siku saba zinakungoja wewe kwa uongo
 
Katika pitapita zangu nimeshangaa kumuona Tembo mwenye miguu mitatu! Je nyie mlishawahi kuona haya maajabu?

picha ipo wapi?....umeniuzi ujue
 
Mkuu miguu mitatu sijui ila miguu mitano huwa ni kawaida sana.
 
ndoto ya mchana au usiku?

dada hapo ni ndoto ya jioni jioni si unajua tena usingizi wa dakika tatu tu lkn ndoto kumi kidogo, mwaka huu tutakoma kuchakachuliwa jamni...
 
Jf tunachakachuliwa!mbona hakuna picha?. Mod tafadhari mshughulikie huyu, anajaza server bila sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…