satoshi mpelekamoto
Member
- Sep 8, 2026
- 17
- 20
Wamerudi kijijini kwao baada ya miaka 100 nyie mnawaita wavamizi..Kijiji MLANJE
kata MPUNGUZI
Mkoa DODOMA
Kuna kundi kubwa la tembo takribani 30 au zaidi wanatembea usiku kwa zaidi ya wiki moja sasa ndani ya eneo hili na kusababisha uharibifu wa mazao pamoja kuvuruga amani tunaomba TANAPA wafanye namna kuzuia tembo warudi walikotoka ni hatari kwa wananchi na shughuli zao
Hili pori la swagaswaga kwasasa lipo chemba au kondoa.Tumelichukua Pori La Akiba Swagaswaga Tuna Askari
Tafadhali Msiwape Wine Wakalewa
Lipo ChembaHili pori la swagaswaga kwasasa lipo chemba au kondoa.
Miaka ya 2010 tanapa walituvuruga sana
Wamerudi kijijini kwao baada ya miaka 100 nyie mnawaita wavamizi..
Njia yao iyo.