Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 184
Muulize MS blog yake iliishia wapi kama sii kuanzisha mada na kujijibu mwenyewe kwa ID nyingine.JF
Tafadhali naomba tuangalie www.felixonfellix.blogspot.com
Hapa utapata habari, mambo yahusuyo imani za watu, mishezo n.k
Kisha tutoe maoni yetu ili kuboresha
aha haaaa haaaa.............duuuh MS kweli ana matatizo yule jamaaMuulize MS blog yake iliishia wapi kama sii kuanzisha mada na kujijibu mwenyewe kwa ID nyingine.
Muulize MS blog yake iliishia wapi kama sii kuanzisha mada na kujijibu mwenyewe kwa ID nyingine.
Kuanzisha blog siyo, kazi ni kuifanya iwe current. Kama umefanya uchunguzi blog nyingi hazipo current, hii ni kutokana na hao mabloger kutokuwa na muda au wasaidizi. Ushauri wangu ni kuwa creative acha mambo ya kucopy na kupaste toka mitandao ya magazeti kama mwananchi n.k Kwa kuanzia siyo mbaya rekebisha makosa ya mabloger wengine utatoka na blog yako itakuwa na wapenzi wengi
Duh,
Hii kali!!!
Hivi yuko wapi siku hizi?aha haaaa haaaa.............duuuh MS kweli ana matatizo yule jamaa