Kasri Homes Tz
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 501
- 694
• Condition: Ya kuhamia
• Rent: TZS milioni 2/mwezi
• Terms: Miezi 6 au mwaka
• Security deposite: TZS milioni 2 (ilipwe mwanzo wa mkataba. Itarejeshwa mwisho wa mkataba kama hakuna uharibifu ndani ya nyumba)
• Viewing charge: TZS 20,000
• Malipo ya kamisheni ya dalali yatatozwa
.
√ ina ghorofa 1 (hakuna lift)
√ Inapangishwa bila samani za ndani (unfurnished)
√ apartment 2 kwenye eneo 1
√ vyumba v3 washrooms 3, sebule, dining, jiko, chumba cha kufulia, bindo na balkoni
√ ina malumalu sakafuni, ac (endapo itahitajika), makabati jikoni, maji moto bafuni (endapo itahitajika) na luku ya kujitegemea
√ uzio wa umeme, geti la umeme, paving, maji ya kisima kirefu, tenki la juu na chini la kuhifadhi maji, parking ya kutosha
√ hewa na mwanga ni vya kutosha
.
Call/Watsap: 0767 15 77 88
.
In real estate we connect