House4Rent Temeke Chang'ombe: 3 Bdrm Apartment/Ghorofa Inapangishwa - Dar

Kasri Homes Tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
501
Reaction score
694
• Direction: Maduka Mawili
• Condition: Ya kuhamia
• Rent: TZS milioni 2/mwezi
• Terms: Miezi 6 au mwaka
• Security deposite: TZS milioni 2 (ilipwe mwanzo wa mkataba. Itarejeshwa mwisho wa mkataba kama hakuna uharibifu ndani ya nyumba)
• Viewing charge: TZS 20,000
• Malipo ya kamisheni ya dalali yatatozwa
.
√ ina ghorofa 1 (hakuna lift)
√ Inapangishwa bila samani za ndani (unfurnished)
√ apartment 2 kwenye eneo 1
√ vyumba v3 washrooms 3, sebule, dining, jiko, chumba cha kufulia, bindo na balkoni
√ ina malumalu sakafuni, ac (endapo itahitajika), makabati jikoni, maji moto bafuni (endapo itahitajika) na luku ya kujitegemea
√ uzio wa umeme, geti la umeme, paving, maji ya kisima kirefu, tenki la juu na chini la kuhifadhi maji, parking ya kutosha
√ hewa na mwanga ni vya kutosha
.
Call/Watsap: 0767 15 77 88
.
In real estate we connect
 
Zipo 2 kwenye eneo 1.
Ukitaka 1 utapata, ukitaka zote 2 ujinafasi, ni wewe tu na hela yako.
Karibu
 
Bado ipo. Karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…