Temeke, Dar: Mwenyekiti wa Mtaa aliyepita bila kupingwa mbaroni kwa tuhuma za wizi wa Tsh. Milioni 12

Thanks Kenny Rogers, The Gambler.
 
Ki ujumla madahaifu ya mtu hayatokani na chama, ila ni ya mtu biafsi.

Si vizuri kumuunganisha moja kwa moja na chama cha ccm. Ila mahusianao ya wizi huo na chama yatajitokeza tu pale wanachama watatumia nguvu ya chama kumtetea.
Huwa wanashadadia wakisikia Mwana ccm kapata tatizo
 
hiyo paragraph ya mwisho mtoa mada nimeisoma na kuirudia mara nyingi huku nacheka mwenyewe.
 
Mwingine wa huku Pwani siku moja kabla yya kuapishwa akakamatwa live kwenye tukio la wizi... Wananchi walimdunda kishenzi... Kesi yake iko inaendelea mahakama ya mwanzo Kibaha
CCM na wizi ni kama chupi na matako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…