Temeke: Madiwani Viti Maalumu wakutana na DC Jokate Mwegelo

Temeke: Madiwani Viti Maalumu wakutana na DC Jokate Mwegelo

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
MADIWANI VITI MAALUM WAKUTANA NA DC. JOKATE

Madiwani wa Viti Maalum wakutana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Jokate Mwegelo lengo ni kujadiliana mambo mbali mbali yanayohusu wanawake katika Wilaya ya Temeke pamoja kushirikiana kwenye mambo mbali mbali ya kijamii na Maendeleo

Screenshot_20220119-131150.jpg
 
Macho utafikiri katoka usingizini lah
 
Safi sana!

Wale wengine acha waendelee kumlilia gaidi wao
 
Back
Top Bottom