J JUMA JUMA JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 790 Reaction score 964 Jan 19, 2022 #1 MADIWANI VITI MAALUM WAKUTANA NA DC. JOKATE Madiwani wa Viti Maalum wakutana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Jokate Mwegelo lengo ni kujadiliana mambo mbali mbali yanayohusu wanawake katika Wilaya ya Temeke pamoja kushirikiana kwenye mambo mbali mbali ya kijamii na Maendeleo
MADIWANI VITI MAALUM WAKUTANA NA DC. JOKATE Madiwani wa Viti Maalum wakutana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Jokate Mwegelo lengo ni kujadiliana mambo mbali mbali yanayohusu wanawake katika Wilaya ya Temeke pamoja kushirikiana kwenye mambo mbali mbali ya kijamii na Maendeleo
D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 3,799 Reaction score 10,196 Jan 19, 2022 #2 Hivi Mheshimiwa DC kaolewa?
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Jan 19, 2022 #3 Macho utafikiri katoka usingizini lah
IDEGENDA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 4,505 Reaction score 5,343 Jan 19, 2022 #4 Safi sana! Wale wengine acha waendelee kumlilia gaidi wao
Designer_3434 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2015 Posts 4,901 Reaction score 3,941 Jan 19, 2022 #5 Acha maisha yaendelee