Temeke: Vijana zaidi ya 20 wa BAVICHA wadaiwa kukamatwa na Polisi

Temeke: Vijana zaidi ya 20 wa BAVICHA wadaiwa kukamatwa na Polisi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Vijana hao wamevamiwa na Jeshi hilo walipokuwa wanajiandaa kuelekea Mbeya kwenye Maadhimisho ya siku ya Kidunia ya Vijana.

Taarifa zaidi zitawajieni hapa hapa Jf, Usiondoke.
 
Screenshot_2024-08-10-23-01-13-1.png
 
Msigwa aliwadanganya CCM kuwa nikihama Mimi na vijana WOTE wa CHADEMA watanifuata, Sasa holaaah hapo ndipo CCM inapopata hasira...!

NI virungu na KUTEKWA TU kufidia hela alizokula Msigwa.
😆😆😆
 
Vijana hao wamevamiwa na Jeshi hilo walipokuwa wanajiandaa kuelekea Mbeya kwenye Maadhimisho ya siku ya Kidunia ya Vijana.

Taarifa zaidi zitawajieni hapa hapa Jf, Usiondoke.
Kukichwa kutapambazuka.
 
Mi kula yangu mpaka nijaze canter mchanga kwa buku tano,tukiwa watu tutagawana 1600 hivi,madogo kama kuhangaika na chadema kunawapa kula basi heri yao,wacha walale ndani,rizki so mchezo
Kula yako! Ni jukumu lako ila kura yako peleka upinzani.
 
Tanzania kuna vitu vya kijinga sana vinafanyika vya kuwanyima uhuru Vijana wao muda wote wanadhani ni Gen Z wanajipanga..
 
Back
Top Bottom