Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sababu ya kukamatwa ni ipi?Temeke: Vijana zaidi ya 20 wa Bavicha Wakamatwa na Polisi
Uoga wa ccm tuSababu ya kukamatwa ni ipi?
😆😆😆Msigwa aliwadanganya CCM kuwa nikihama Mimi na vijana WOTE wa CHADEMA watanifuata, Sasa holaaah hapo ndipo CCM inapopata hasira...!
NI virungu na KUTEKWA TU kufidia hela alizokula Msigwa.
Vijana zaidi ya 20 wanakamatwaje na polisi bila kumjeruhi au kumuua hata polisi mmoja?Vijana wa Kizazi cha Energy ni Waoga kupitiliza 😂😂
Mi kula yangu mpaka nijaze canter mchanga kwa buku tano,tukiwa watu tutagawana 1600 hivi,madogo kama kuhangaika na chadema kunawapa kula basi heri yao,wacha walale ndani,rizki so mchezo
Inasemakana hizo ndio 4R za SamiaPolisi wanatumika Kisiasa.
Kukichwa kutapambazuka.Vijana hao wamevamiwa na Jeshi hilo walipokuwa wanajiandaa kuelekea Mbeya kwenye Maadhimisho ya siku ya Kidunia ya Vijana.
Taarifa zaidi zitawajieni hapa hapa Jf, Usiondoke.
Huna akili.Temeke Kuna Chadema?
Kula yako! Ni jukumu lako ila kura yako peleka upinzani.Mi kula yangu mpaka nijaze canter mchanga kwa buku tano,tukiwa watu tutagawana 1600 hivi,madogo kama kuhangaika na chadema kunawapa kula basi heri yao,wacha walale ndani,rizki so mchezo