TEMESA: Kivuko cha MV. Magogoni kilipata hitilafu asubuhi, Abiria watumie Daraja la Nyerere. Kipo kwenye matengenezo

TEMESA: Kivuko cha MV. Magogoni kilipata hitilafu asubuhi, Abiria watumie Daraja la Nyerere. Kipo kwenye matengenezo

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
TEMESA wamesema kivuko cha MV Magogoni kilipata hitilafu leo asubuhi, 2, Juni 2022 hivyo abiria watumie njia mbadala ambayo ni Daraja lal Nyerere.

TEMESA inaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza na utaojitokeza wakati huu wanapoendelea na matengezo ya kivuko hicho.

TEMESA.jpg
 
Naona Kama wanampa ole madam President baada ya Serikali kutaka kuonesha mechi hapo darajani, ni kama wanasema kivuko kimeharibika watu hawawezi kuvuka. Ngoja tuone lakini Rais ni taasisi
 
Naona Kama wanampa ole madam President baada ya Serikali kutaka kuonesha mechi hapo darajani, ni kama wanasema kivuko kimeharibika watu hawawezi kuvuka. Ngoja tuone lakini Rais ni taasisi
Nani kakudanganya daraja lilioonyeshewa mpira lipo Kigamboni?
 
Hilo foleni lake lazima litakuwa si la kitoto.

Wazee wa Kigamboni mpo

Ova
 
Wakibinafsishe tu hicho kivuko

Ova
 
Back
Top Bottom