Hii CV daaaa moja Kati ya CV ya kijinga kinyamaNitafute mpendwa ntakutengenezea CV nzuri Kama hii ya kwangu naiattach hapo. Na pia kuna templates zingine nyingi. Nipigie kwa namba 0783403465.
Bora umemuambiaCv personal details zkuwa page 2 sijawahona. After all mpangilio mbaya
Ni ya hovyo bhana tuseme tu kweli
Tafuta mtaalamu akutengenezee CV kaliHilo jibu lilikuwa linamuhusu aliyeomba template ya CV. At least yeye ndo angejibu hayo mloyaropoka. Post hii ipo toka jana, nyinyi wenye CV nzuri toka jana mbona hamkumjibu mkatumia? Ila reply yangu ndo imewatekenya? [emoji1787][emoji1787] Minding your own business isn't that expensive broskies!! [emoji1787][emoji1787]
Ng'ombeHilo jibu lilikuwa linamuhusu aliyeomba template ya CV. At least yeye ndo angejibu hayo mloyaropoka. Post hii ipo toka jana, nyinyi wenye CV nzuri toka jana mbona hamkumjibu mkatumia? Ila reply yangu ndo imewatekenya? [emoji1787][emoji1787] Minding your own business isn't that expensive broskies!! [emoji1787][emoji1787]