Mwakabizzle Member Joined Jun 10, 2011 Posts 29 Reaction score 2 Oct 20, 2011 #1 Naomba kuuliza wakuu humu jamvini kama kuna mtu yeyote mwenye information kuhusu temporary job iliyotolewa na NHIF maana naona kimya kimekuwa kingi,walishaita watu kwa ajili ya interview?
Naomba kuuliza wakuu humu jamvini kama kuna mtu yeyote mwenye information kuhusu temporary job iliyotolewa na NHIF maana naona kimya kimekuwa kingi,walishaita watu kwa ajili ya interview?
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,533 Reaction score 6,562 Oct 20, 2011 #2 Watakuwa wameitana Kindugu ndugu
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,374 Reaction score 6,857 Oct 20, 2011 #3 sIDHANI KAMA WALISHAITA, NGOJA TUNGOJE
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,649 Oct 20, 2011 #4 bado hawajaita mkuu...................huh