temporary job


kaka Ely,
Mimi ndio nasoma sasa hii habari ya kuhusu kazi uliyokuwa unamjibu kijana anayesubiri majibu yake.
Nami nina kijana kamaliza Form 6, bahati mbaya majibu hayakuwa mazuri. Je unaweza kunisaidia kuniunganishia kazi hiyo uliyomjibu jamaa?

simu yangu: 255 713-689665
Asante
 
Mi mwenyewe nimezunguka hapa dsm mda mrefu jobless, naomba kama nafasi bado ipo unilink na mimi.
 

pia kama kuna mtu anataka kazi ya mshahara lak2-3 anitafute haraka,kigezo ni mwenye cheti au diploma au digrii ktk kodi/tax. Kampuni ni mpya na mtu anahitajika haraka. Gudtime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…