bachelor degree!
pape umekosea mkuu anatakiwa mwenye masters.bachelor degree!
mtoa bandiko atusaidie sasa!Not enough yet mana wenye bachelor ni wengi na ziko tofauti, do they need fresh bachelor jamani kwa wawazi hapa
hakukuwa na ifo zaidi ya hizo jamani, mareceptionist hata awe form four bora aiweze kazi, hata kama una degree unazuga huko mitaani hujapata bado kazi swallow your pride and take that opportunity. it might help you build a network that can result into a big thing. change your attitudes guys!