Temu wananikumbushia Kikuu. Ukiagiza kitu na unachopata utacheka mwenyewe!

Temu wananikumbushia Kikuu. Ukiagiza kitu na unachopata utacheka mwenyewe!

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Screenshot_20250213-110552.png

Screenshot_20250213-110226.png

Screenshot_20250213-110152.png

Screenshot_20250213-110724.png

 
Temu ni ya kichina, inatumika sana ulaya na Marekani na pia South Africa hasa kwenye kuagiza vitu vya bei ya chini, vitu vya chini ya nadhani dollar 1000 kwa ulaya na Marekani, sijajua limit ya amount kwa south Africa.. iko nyingine inaitwa Shein zote za kichina.
 
Back
Top Bottom