Temu ni ya kichina, inatumika sana ulaya na Marekani na pia South Africa hasa kwenye kuagiza vitu vya bei ya chini, vitu vya chini ya nadhani dollar 1000 kwa ulaya na Marekani, sijajua limit ya amount kwa south Africa.. iko nyingine inaitwa Shein zote za kichina.