Max mimi ndiye ambaye nitakujibu swali lako, lakini nataka pia ujibu swali langu ili tuendelee.
Umeuliza kwamba nipeni sababu yakusema Mungu hayupo.
Hilo jibu ninalo!!!!!
Na mimi nilikuuliza Moses kama anavyosemwa kwenye biblia alipewa amri kumi za Mungu.
Wewe kama mtu wa dini ungenijibu nikupitia lugha gani amri kumi za Mungu alipewa Moses.
Au hata bible yako huijui inakotoka?
Usikimbie mimi ndio hasa nitakayekujibu swali lako linalosema nipeni ushahidi wenu kwamba Mungu hayupo.
Nataka unijibu ni lugha gani ilitumika kuandika amri kumi za Mungu kwenye jiwe.
Mimi nipo hapa nakusubiri, najua unaijua bible kwahio halitakua swali gumu kwako kunijibu.
Mungu hayupo jibu lake ninalo!!!
NAKUSUBIRI KWA HAMU:
Darwin:
Inashangaza sana kusikia kutoka kwako eti leo hii unataka kujua ni lugha gani ilitumika kwenye Tablets of the Covenant. Mungu alitumia lugha gani kwenye tablets.
Kama Mungu kutokana na imani yako hayupo na wala hakuwepo, iweje leo hii unauliza defacto question? How can you ask such a question while consciously knowing that God does not exist? That is what you believe, don't you? How did you come to the conclusion that Un-Existed God did actually give Ten Commadments to Moses?
Secondly, you have to support your belief that God does not exist. I need watertight, concrete, and must be verifiable exhibits from you. It is very imperative that your exhibits are in a verifiables form. No assumptions or examples or stories are permited at any and all time.
Finally, don't try to change the theme here, if you want to discuss about ten commandments, you are most welcome. But start a thread on that, and I will be very happy to teach you about God through the ten commandments. I will give you concrete watertight and verifiable exhibits in each and every reply from me.
I know the language, but this is not a thread for that, and you know that. I will teach you a new language Ketav Ashurit.
Accordinly, by asking such a question, you have consciously, willingly, and knowingly acted wanton disregard, inter-alia, you ipso facto your self in supporting your defacto belief that God does not exist, ad infinitum.
__________________
For if I preach the gospel, I have nothing to boast of, for I am under compulsion; for woe is me if I do not preach the gospel. -1 Corinthians 9:16 ...
Last edited by MaxShimba; 7th November 2008 at 02:32 PM..
Join Date: Thu Apr 2008
Posts: 3,764
Thanks: 2,658
Thanked 3,489 Times in 2,061 Posts
Rep Power: 29
Credits: 25,520,834
Re: Evolution?
Quote:

The Following 2 Users Say Thank You to MaxShimba For This Useful Post: Genesis (10th November 200,
SCHMIDT (8th November 200
[quote
=Darwin;479975]1.Hata post zangu huzisomi?
Kazi kweli kweli
2.Prove to me that god does not exist
Amri alizozitoa mpaka leo hazina jibu sahihi niamini kwamba yupo?
Kuongeza.
Na wewe nipe ushahidi kamili kwamba yupo.
Bila ya hivyo napoteza muda wangu.
Ngoja nikanywe bia zangu
Endelea na bibilia au babulia yako.
Nipo hapa hapa nilikupa karibia nusu mwaka mpaka sasa hujanipa jibu.
andika vitabu vyote ulivyosoma tuvione, hahaahahaaaa.
Usidhani naondoka naenda kula maraha.[/quote]
Inaoneka kuwa una matatizo ya kusahau,