Ten Hag hana akili sawasawa kitendo cha kuwatoa wadogo Ganacho na Mainoo kimempalia makaa. Unadhani atachomoka

Ten Hag hana akili sawasawa kitendo cha kuwatoa wadogo Ganacho na Mainoo kimempalia makaa. Unadhani atachomoka

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
640
Reaction score
1,141
Huyu kocha hata mm nilimshangaa ana utoto kwanini alishinda 3 0 akawatoa watoto hao wawili. Akabanangwa 3 3 shukran kwa var iliyokataa hlgoli la 4 la adui. Jamaa anaaminika kumpa nafasi Antony ili ajisafishe kwa gharama kubwa aliyomnunua.... timu ingebaki 3 0 au ushindi wowote sifa kwa waliocheza akiwemo ruba wake Antony. Lakini amestukiwa.

Kwa sasa anafanyiwa assessment ya mahusiano yake na wachezaji kwanini anagombana nao ndani ya muda mfupi?

Anafuatiliwa ba ukizingatia De gea anasikilizia Sancho anasikilizia. Kocha huyu kw asilimia zaidi ya 80 anatukuzwa na ashukuru alivyoshinda penalty.

Ten hag anaonekana hayupo kimpira ula ana ubaguzi wa siri siri.

Tajiri mpy anaupenda n a ni shabiki kindakindaki.

Ten tag alistukiwa alipoona ushindi upo akaweka virusi vyake. Akaona makinda mainoo na ganacho wamewika tayari wampe nafasi mtoto wa pekee. Ila pia alichemka baada ya kuumia Rashid wakaingia makinda wengine. Hii ilibaki siri kwamba nia yake sio nzr kwa krab bali maslahi yake.

Jamaa alikksea sana kuwaondoa mainoo na ganacho. Sasa anachunguzwa na sport director mpyaaaa
 
Inaonekana hii ni gia ya kumuondoa
 
Back
Top Bottom