nlidhani upanga ni kwa masonko
The Ilala Regional Police Commander Salum Hamdun has ordered immediate evacuation of all tenants residing in the storey building which has developed dangerous cracks at Upanga in the city.
Tenants ordered out of life-threatening city storey building
Proactive Management..Kazi nzuri sana.Very responsible government, ingakuwa nchi zingine wangesubiri hadi jengo libomoke na watu kupoteza maisha.
Back in 2006, a building collapsed inside nairobi CBD and killed many..Inside! not even in the outskirts. This happened at nyamakima where Maathai supermarket currently stands. There was no rain Just Shoddy construction and corrupt approvals.Halafu hatari sana maana jengo lenyewe lipo maeneo ya mjini ndani, prime area, kamvua ka siku mbili tu.
Hauna lolote unalolisema..Pambana na hali yakoInvestment ya mjini ndani yaani hatari.
mzee huyo, kichwa chake hakipo sawa, amejaza wivu na chuki kwa Tanzania baada ya kuona JPM amemfunika Uhuru katika kila sector, ukabila ndiyo tatizo lake.Hauna lolote unalolisema..Pambana na hali yako
The structural survey report shows that there are some latent diffects which might trigger to a differential settlement. Sometimes the settlements cause a building to collapse.
Kwa hiyo unashanga kwa Dar kutoa warning na ku evacuate watu ila haushangai yaliyotokea Nairobi CBD, ghorofa kuanguka in 2006 mpaka watu 11 wakafa! Bila shaka walio fariki hawakua wakikuyu maana wewe jamaa kwa ukabila ni wapili baada ya Uhuru.But in the middle of the city, prime area. This is blatant case of corruption.
Jengo Linaanguka Katikati ya Nairobi CBD an linganisha na nyumba ambayo wahandisi wanashuku tu.. Limbukeni huyu!Kwa hiyo unashanga kwa Dar kutoa warning na ku evacuate watu ila haushangai yaliyotokea Nairobi CBD, ghorofa kuanguka in 2006 mpaka watu 11 wakafa! Bila shaka walio fariki hawakua wakikuyu maana wewe jamaa kwa ukabila ni wapili baada ya Uhuru.
Mtu kama huyu anaeza mcheka mwenzake kisa ana endesha passo wakati yeye hana ata bicycleJengo Linaanguka Katikati ya Nairobi CBD an linganisha na nyumba ambayo wahandisi wanashuku tu.. Limbukeni huyu!
But in the middle of the city, prime area. This is blatant case of corruption.
Not real, coz the Dar cbd construction is well monitored by building control and inspection UNIT.
This can be one example of systematic error.
There was another incident of a building collapsing in the middle of the Dar city, I remember back then I was in Tz. It's a common occurrence. See this video...in the middle of city.
Kinachonifurahisha kwa wenzetu wa 254 hawana upendeleo wakati fulani. Hata kwao kukiwa kumekosea watasema kabisa. Nimefurahi jinsi wanavyojibizana wenyewe mmoja akikubaliana na hatua ya Serikali ya Ilala ya 255. Yule mwingine alikebehi eti "Kamvua ka siku 2 tu". Na mwenzake akamletea tukio la NRB ambapo hata mvua haikuwepo. Nimeipenda hiyo. Nadhani huyu aliyerejea mfano wa NRB kutetea hoja inayounga mkono hatua ya uongozi wa Ilala ya 255 yuko "genuine".Back in 2006, a building collapsed inside nairobi CBD and killed many..Inside! not even in the outskirts. This happened at nyamakima where Maathai supermarket currently stands. There was no rain Just Shoddy construction and corrupt approvals.
11 Killed in Kenya Building Collapse