There was another incident of a building collapsing in the middle of the Dar city, I remember back then I was in Tz. It's a common occurrence. See this video...in the middle of city.
HAPANA aisee usitafutize mambo yaliyatokea miaka mingi iliyopita. It happens, but not common like the way it occurs in Nairobi.
Huyo jamaa ni wivu na pia akili ya kujenga hoja ni ndogo sana ni sawa na kichaa kabisa, usipoteze nguvu zako.Jengo Linaanguka Katikati ya Nairobi CBD an linganisha na nyumba ambayo wahandisi wanashuku tu.. Limbukeni huyu!
Issue yangu ni kwamba kamvua kanaangusha jengo katikati mwa jiji kuu la Dar, hilo tukio nimekuletea video ilikua mjini kati, yaani hatari ya ufisadi uliopitiliza.
Matukio mengine hayafai kabisa katikati mwa mji ambao ndio sura ya nchi.
Sidhani KAMA mvua ndiyo ilikuwa chanzo cha kuanguka kwa jengo hilo. Na kwa SASA majengo hayataanguka tena kwa sababu kuna serious building quality control.
Jengo haliko CBD liko residential area eneo la upanga japo sio mbali sanaaa na CBDIssue yangu ni kwamba kamvua kanaangusha jengo katikati mwa jiji kuu la Dar, hilo tukio nimekuletea video ilikua mjini kati, yaani hatari ya ufisadi uliopitiliza.
Matukio mengine hayafai kabisa katikati mwa mji ambao ndio sura ya nchi.
Hapa unatudanganya ati common occurrence, tuonyeshe lingine lililoanguka Dar. Hilo jengo mmiliki alileta ujanja na rusha akajenga ghorofa nyingi kuliko zilizo kubakiwa na city kwa foundation ile ile ya original plan. Tena walivunja na jengo lingine pembeni yake lilikuwa linamilikiwa na huyo huyo mwenye jengo lililoanguka. Kwenye usalama wa majengo Dar hutaki utani, tuko almost below sea level, hatuwezi kuleta utani kwenye foundation na structure za nyumba kubwa.There was another incident of a building collapsing in the middle of the Dar city, I remember back then I was in Tz. It's a common occurrence. See this video...in the middle of city.
Hapa unatudanganya ati common occurrence, tuonyeshe lingine lililoanguka Dar. Hilo jengo mmiliki alileta ujanja na rusha akajenga ghorofa nyingi kuliko zilizo kubakiwa na city kwa foundation ile ile ya original plan. Tena walivunja na jengo lingine pembeni yake lilikuwa linamilikiwa na huyo huyo mwenye jengo lililoanguka. Kwenye usalama wa majengo Dar hutaki utani, tuko almost below sea level, hatuwezi kuleta utani kwenye foundation na structure za nyumba kubwa.
Majengo ya zamani ndiyo yana anguka au yale yaliyo ongezwa ghorofa kinyume na sheria kuna baadhi ya watu binafsi wenye tamaa wanaongeza gorofa kwenye majengo dhaifu hapa Tanzania ni wakati wa kuwadhibiti na kuvunja mijengo mibovu yote cbdKama sio mvua basi ni mbaya hata zaidi, yaani jengo lianguke lenyewe katikati ya mji mkuu wa biashara, halafu hizo controls za siku hizi ni zipi maana nimeona sehemu ufisadi umetajwa kufanyika juzi wa 1.5 trillion, jameni kwa nchi yenu ilivyo maskini aise hizo hela ni ndefu.
Yeah back then 2013 all those plus district planing officer, building inspector and owner where all arrested and charged. Sijuwi kesi ilifikia wapi but there was a court case.The consultant must be in trouble. The consulting firm has to be blacklisted.
Yeah back then 2013 all those plus district planing officer, building inspector and owner where all arrested and charged. Sijuwi kesi ilifikia wapi but there was a court case.
Yes I do remember that.Yaa if YOU recall when Lowasa was a pm he arrested some Temeke MC officials regarding the collapse of a multi storey building in Chang'ombe. It was back 2006.
Yes I do remember that.
My question is will insurance company pay for such a damage?
Well said!!! Our problems are very similar in most cases....Hamna kitu inakera kama every topic inazua Ukenya Utanzania mara Unyarwanda bila kugundua kwamba hizo boundaries ziliwekwa na mkoloni na kwenye mipaka kuna jamii zinaongea same language, wanafanya business pamoja na wanasocialize kabisa, hii ukiachia mbali ndugu waliotenganishwa na hii hii mipaka, acheni undezi, we are all waafrika!
Nchi nyingine wangezuia losijengwe kabisaVery responsible government, ingakuwa nchi zingine wangesubiri hadi jengo libomoke na watu kupoteza maisha.