Tenants ordered out of life-threatening city storey building in Tanzania

Nchi nyingine wangezuia losijengwe kabisa
Nchi gani hiyo unayosema wangezuia isijengwe kabisa, mimi nilimaanisha jirani zetu ambako kila siku majumba yanaporomoka na watu kupoteza maisha karibia kila baada ya miezi mitatu.
 
Nchi gani hiyo unayosema wangezuia isijengwe kabisa, mimi nilimaanisha jirani zetu ambako kila siku majumba yanaporomoka na watu kupoteza maisha karibia kila baada ya miezi mitatu.
Umesahau ya Dar es Salaam hivi unafahamu Ripoti inasema Majengo mangapi hapo hayafai kwa Usalama wa Binadamu
 
Umesahau ya Dar es Salaam hivi unafahamu Ripoti inasema Majengo mangapi hapo hayafai kwa Usalama wa Binadamu
Dar tangu 2013 lilipoanguka lile jengo pale katika ya jiji, hakuna jengo lolote lile lililoanguka, badala yake serikali imekuwa makini katika kufuatilia majengo hatarishi na kuchukua hatua ikiwemo kuyavunja na kusimamisha ujenzi hatarashi. Kuanzia 2013 hadi sasa Kenya zaidi ya nyumba 50 zimeanguka na kusababisha vifo zaidi ya 300.
 
Heavy rains flood Kenya's capital Nairobi

THURSDAY MARCH 15 2018

A morning downpour has flooded parts of Nairobi City, wreaking havoc for commuters headed to work.

The rains that started a at 6.30am virtually brought business to standstill in the Kenyan capital.

The first casualty was the flow of traffic during the morning rush hours, with vehicles getting stuck on the roads.

'RIVERS'

Floodwaters filled major streets and avenues in the city, with some commuters wading through it as they alighted from matatus.

While the entire central business district was under water, some of the flood hotspots included Moi Avenue, Tom Mboya, Racecourse Road, Ronald Ngala Street, Haile Selassie Avenue, Temple Road, Kimathi Street among others.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…