Tenda: kazi mwezi wa nane 1/8/2018. Budget yangu ni ml 4

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Wakuu mimi ni mfanya biashara mdogo. biashara ya simu nataka marekebisho ya duka langu.
Naitaji matengenezo ya duka 2
La kwanza hapakuwepo na duka ni mahali pembeni flani kama mita 3 kwa 8, patakuwa na duka lakini stoo ya duka ambalo lipo
Panahitaji
1. Mlango wa kioo
2. Kabati dogo la kioo
3. Kikabati kidogo
4. Vya kutudukia simu
5. Kugawa kwa bati ngumu.
6. Feni
7. Ac
8. Sofa nzuri kwa mbele.
9. Juu pawe na pvc


6. Stoo iwe na nyuma ya hiki chum a

A) makabati ya usalama ya kutengeneza ya kawaida
B.)Mashelfu mengi mno mno

Duka la pili ambalo lipo linataka marekebisho liwe kama la pichani

Bajeti yangu ni milioni 4
Kama una ushauri na utanifaa ntauchukua.
Karibu pm
 
Mafundi au kama unamjua fundi mpe hii mambo atathimini nipo serious 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…