M mama kokuu Senior Member Joined Oct 11, 2012 Posts 131 Reaction score 22 May 14, 2013 #1 Natafuta tenda ya kulisha maofisini na viwandani malipo ni maelewano kwa siku,wiki au mwezi Attachments chakula.jpg 58.5 KB · Views: 84
Barraza JF-Expert Member Joined Oct 10, 2011 Posts 481 Reaction score 270 May 16, 2013 #2 ungekuwa wazi zaidi mnapatikana mkoa gani? na je mnakava maeneo yapi katika mkoa husika. Otherwise gharama zenu ni very reasonable na menu inavutia.... All the best mjasiriamali
ungekuwa wazi zaidi mnapatikana mkoa gani? na je mnakava maeneo yapi katika mkoa husika. Otherwise gharama zenu ni very reasonable na menu inavutia.... All the best mjasiriamali
M mama kokuu Senior Member Joined Oct 11, 2012 Posts 131 Reaction score 22 May 17, 2013 Thread starter #3 Nashukuru sn Barraza naishi Dar-Temeke ndugu yangu karibu sn