Tenda ya kupika kiti moto safi na kuchoma kuku kwenye mabaa

Tenda ya kupika kiti moto safi na kuchoma kuku kwenye mabaa

bbenedict

Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
91
Reaction score
7
Habari zenu wana jf, nimehamia dodoma hiv majuzi,mzoefu wa mapishi ya kila haina ila napendelea sana kuchoma nyama za kuku na ngombe pamoja na kupika kiti moto,dodoma ni mgeni na natamani sana kama yeyote atakaetembelea blg hii na kuweza kunisaidia kupata tenda kwenye bar nitashukuru sana.asanteni
 
Mpaka sasa ivi, anayeongoza Tanzania nzima kwa kitimoto, ni mpare, pale Caribean bar, karibu na Bunge.
 
Mambo ya mdudu... na hivi anapendwa na watanzania waliowengi utapata wateja... inshallah...
 
Back
Top Bottom