Tenda ya TANESCO: Ni ya kweli haya?

Tenda ya TANESCO: Ni ya kweli haya?

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Siku ya kufungua tenda ni May 14 2010 hapo Ubungo.Ati vituo vinavyotakiwa kujaziwa tender ni pamoja na Mombo,Hale na Michungwani.Korogwe wala jijini Tanga hakuna.Hivi kulikuwa na makosa ya uchapishaji au nini?.
 
Back
Top Bottom