Natafuta tenda ya kuwapeleka watoto shule na kuwarudisha kwa WA wazazi ambao Wako busy na kazi Ni makubaliano Nina usafiri wangu Ada ya usafiri Ni makubaliano yangu na mzazi ILA WA sinza,mwenge,ubungo,urafiki,manzese inakuwa nafuu kwa mtoto kuwahi shule mapema kuliko sehemu nyingine kutokana na foleni au kuchukuliwa mapema kukwepa foleni piga 0714064767