Tenda

Tenda

kebi

Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
19
Reaction score
5
Habari wana jukwaa tafadhari tupeane na michongo ya tenda pia nadhani kuna watu wamejiajiri kwa sekta mbalimbali itakuwa asanteni
 
Mi nafanya General Supplies (Office Stationery, Electronic Equipments and Office Consumables)

Aidha; nina Kampuni ya Kufanya Usafi Kwenye Nyumba, Ofisi, Barabara na Mitaro, Masoko. Viwanda n.k. (Cleaning, Gardening, Sanitary, Garbage Collection e.tc.)

Mwenye Kazi Naomba ani PM tafadhali
 
Back
Top Bottom