Mi nafanya General Supplies (Office Stationery, Electronic Equipments and Office Consumables)
Aidha; nina Kampuni ya Kufanya Usafi Kwenye Nyumba, Ofisi, Barabara na Mitaro, Masoko. Viwanda n.k. (Cleaning, Gardening, Sanitary, Garbage Collection e.tc.)
Mwenye Kazi Naomba ani PM tafadhali