Tende na Halua ipi Tamu Zaidi?

Tende na Halua ipi Tamu Zaidi?

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,606
Reaction score
1,711
kilingeni naingia, ndimi mwana wazuoni
utamu wakolea, wajaa mpaka kisogoni
halua nimebwia, imeua hamu mtendeni
tende nimeikacha, halua tu naitamani

Itaendelea...
 
Back
Top Bottom