Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Mimi cna ubaya na hyo considering all things in kenya zimefika diminishing return phase 2DIESEL!!!!πππ
Mimi cna ubaya na hyo considering all things in kenya zimefika diminishing return phase 2
DIESEL!!!!πππ
DIESEL!!!!πππ
Haaa haaa subiri majibu utashangaa kila mtu Kenya ni mwanasiasa.
KenyaSiasa za nini, hamna cha siasa hapa ni kazi tu, Bongo huko ndio mpo kwenye siasa kutwa maana hamna dira ya taifa, kila kiongozi anakurupuka na kitu alichokiota usiku.
Miradi unayo ona leo Kenya inatokana na kazi kubwa sana iliyofanywa na wataalam wa Kenya, wakaandika dira ya taifa inayoitwa vision 2030. Ni dira inayofuatwa na kila Mkenya, walianza akina Kibaki na Raila, leo hii Uhuru ameifuata na hata ajaye ataifuata, awe kiongozi wa upinzani au huyu wa sasa. Kama nchi tunajua tunakotoka na tunakokwenda, nchi hii haigozwi kwa matamko kama mlivyozoea huko kwenu.
Viongozi wote Wakenya wanaotafuta kura huwa wanahojiwa kulingana na uelewa wao wa hii dira na wataifanikisha vipi. Hebu tazama hii video ya mdahalo wa wagombea wa uchaguzi Kenya 2013, kitu ambacho hakijawahi kutokea Afrika yote.
Woooow ndio maana hawakutaka kabisa Tajj mall ibomolewe they envisiones it will be a train station and not a mall anymore in the futureTAJI MALL FUTURE DEVELOPMENT
hapa wameshaanza kuweka hizo nguzo za kusupport the flyovers.....outer ring road itakuwa poa sanaTAJI MALL FUTURE DEVELOPMENT
DIESEL!!!!πππ
Sawa wewe ndio una jua MIMI najua tunaletewa DF11G ....na tayari picha za design zilipewa Uhuru last weekHalafu pia zinafanana na locomotive zetu za TAZARA, ingawa TAZARA wamesha up-grade kuchukua vichwa vyenye engine za Germany zenye ufanisi zaidi kutokana na changamoto za kijiografia. Sasa sijui SGR Kenya wameangalia changamoto hizo?
Photo courtesy of DF11 Quasi-High Speed Passenger Diesel Locomotive_Products Center_Locomotive_Passenger Locomotive_CRRC QISHUYAN CO.,LTD.
I thought so too. The developers of Taj mall must not lose hope,Woooow ndio maana hawakutaka kabisa Tajj mall ibomolewe they envisiones it will be a train station and not a mall anymore in the future
tazara ni aibu ya africa jamaniHalafu pia zinafanana na locomotive zetu za TAZARA, ingawa TAZARA wamesha up-grade kuchukua vichwa vyenye engine za Germany zenye ufanisi zaidi kutokana na changamoto za kijiografia. Sasa sijui SGR Kenya wameangalia changamoto hizo?
Photo courtesy of DF11 Quasi-High Speed Passenger Diesel Locomotive_Products Center_Locomotive_Passenger Locomotive_CRRC QISHUYAN CO.,LTD.