Natafuta mtu wa kunikabiz gari aina ya noah niigie nae mkataba hata kama chini ya Mwanasheria,kwa hesabu ya elf Tsh. 30000/: kwa kila siku. Kazi yake nikuibebea na kusambazia vifaa vya maofisini na masiteishenari.Kwa ambae yuko tayari tuwasiliane kwa no: 0657-610505 tufanye kazi

uko wapi wewe?
niko dar es salaam , mabibo jeshini
Mimi tunaweza kufanya kazi nadhani, ingawa niko nje ya nchi na gari yangu iko Idle....Piga 0719 618933 utaongea na niliyemuachia then nitampa maelekezo. My contract will be for only six months if you do not mind..Masuala ya bei tutaongea!
Tiyari nishaongea nae yuko kigamboni gezaulore ila kasema mwenye tamko la mwisho ni wewe tu ivo nitumie mawasiliano yako hata e.mail kama ipo
OK! Please weka email yako au kama unatumia WhatsApp, Skype niambie tuwasiliane. Nisingependa ku-dispaly email yangu hapa jukwaani. Kama hutajali tafadhali...