Tender-land scaping!natoa

Tender-land scaping!natoa

rakeyescarl

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2007
Posts
481
Reaction score
147
Wakuu nina kajumba kadogo jijini DSM,nimechoka na matope ya mvua nataka solution ya 1)Matope 2)Kufanya nje(ndani ya fence) paonekane na mvuto,I don't care hata kama ni wanafunzi wakajifunzia hapo ili mradi bei iwe ya kiubinadamu-sihitaji vyeti wala ofc.
Asanteni.
 
Back
Top Bottom