crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,323
- 2,207
kumekuwa na rushwa na ufisadi usiojali maslahi ya nchi hata kidogo kwenye utoaji wa tenda za insurance/ Bima yanayo husu mashirika ya umma.
ni mtindo sasa kwa mashirika mengi kutoa tenda kwa kampuni moja tu ya ASTRA ambayo wamiliki wake na major share holders ni wakenya.....na huwa wanamtumia mzee rupia ambaye wamempa vi share kidogo na yeye kutumia influence yake kampuni hiyo ya kenya inashinda tenda zote za Insurance za mashirika ya umma.
makampuni mengine hayana nafasi japo yana uwezo zaidi wa kampuni hiyo ya ASTRA
uzalendo wetu umeondoka kabisa kiasi ya hata ufisadi hatujali kuyasapoti makampuni yetu ya kizalendo na badala yake kwa ufisadi wa mashirika yetu watatoa na kuyapa faida makampuni ya kenya
jee ni rahisi kwa kampuni ya Tanzania kwanza kufanya biashara ya Bima Huko Kenya?
pili jee inawezekana wakenya kuipa tenda kampuni ya bongo?
haiwezekani
tunaomba mamlaka za TIRA na Procuremnent agency waliangalie hili....na nitatuma email kwao kuangalia suala hili la rushwa katika tenda za bima za mashirika ya umma.
kama hakuna mabadiliko basi ..wasitangaze tender kwani wanajua nani wanampa