Tender za insurance mashirika ya umma

crabat

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
4,323
Reaction score
2,207
kumekuwa na rushwa na ufisadi usiojali maslahi ya nchi hata kidogo kwenye utoaji wa tenda za insurance/ Bima yanayo husu mashirika ya umma.
ni mtindo sasa kwa mashirika mengi kutoa tenda kwa kampuni moja tu ya ASTRA ambayo wamiliki wake na major share holders ni wakenya.....na huwa wanamtumia mzee rupia ambaye wamempa vi share kidogo na yeye kutumia influence yake kampuni hiyo ya kenya inashinda tenda zote za Insurance za mashirika ya umma.
makampuni mengine hayana nafasi japo yana uwezo zaidi wa kampuni hiyo ya ASTRA
uzalendo wetu umeondoka kabisa kiasi ya hata ufisadi hatujali kuyasapoti makampuni yetu ya kizalendo na badala yake kwa ufisadi wa mashirika yetu watatoa na kuyapa faida makampuni ya kenya
jee ni rahisi kwa kampuni ya Tanzania kwanza kufanya biashara ya Bima Huko Kenya?
pili jee inawezekana wakenya kuipa tenda kampuni ya bongo?
haiwezekani
tunaomba mamlaka za TIRA na Procuremnent agency waliangalie hili....na nitatuma email kwao kuangalia suala hili la rushwa katika tenda za bima za mashirika ya umma.
kama hakuna mabadiliko basi ..wasitangaze tender kwani wanajua nani wanampa
 
that true nimekuwa kwenye mashirika mawili makubwa ya umma ila astra ndio wanakamata tenda tu!inabidi iangaliwe upyaa hii kitu!but hawa ni broker tu!
 
that true nimekuwa kwenye mashirika mawili makubwa ya umma ila astra ndio wanakamata tenda tu!inabidi iangaliwe upyaa hii kitu!but hawa ni broker tu!

Nakubaliana na wote....tenda za bima za mashirika ya umma wote wanaipa Astra ...BOT, TTLC, TRA PPF,TPA nk
PPRA JEE MNYAJUA HAYA ?

WANAKULA RUSHWA KUWAPA NA HII KAMPUNI SI YA KIZALENDO NI YA KENYA.....IMEWAPA SHARE WANASIASA AMBAO NDIO WANAO LAZIMISHA HAYA NA KUONDOA USHINDANI
NAAMINI KUNA MAKAMPUNI MENGI YA BROKER MAZURI NA YANA UWEZO MKUBWA KULIKO ILIVO ASTRA ILA KUNA TATIZO LA RUSHWA KUBWA
 

ahasante macos

sasa hivi kuna tender ya ttcl tayari zimetoka ila ukienda kununua hizo documents unaweza kupata ambazo zina kasoro ama wanakurejesha kuwa unatakiwa ufanye hivi ama vile yote hayo ni kufanya ukate tamaa
tunaomba uongozi wa wa ttcl uingilie kati kwani mara hii hatutakubali kuona tenda inatolewa kwa upendeleo hata kwa kikwete tutafika.....au ...na tunamuomba waziri mbarawa na january makamba washughulike na hili....
Kuna kampuni zina weza kutoa cover nzuri na rahisi kwa ttcl kuliko inavopata kwa astra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…