malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Huko mashuleni na zahanati au kituo Cha afya sinasikia pesa zinakua ziko katika account zaoTafuta kazi nyingine ya kufanya mkuu,vinginevyo uwe tayari kufa Kwa njaa!
Usithubutu utalia kilio cha mbwa muulize DeepPondWajuzi wa mambo wazoefu ,tupeni uzoefu kwaliofanya kazi za tenderza serikali hasa zakusuplly materia katika mashule na zahanati pamoja na ujenz wake,zikoje nazo zinakujuana nakucheleweshewa malipo japo pesa ziko kwenye account husika na mashule na mazahanat
Mbona alishatoa kufanya kazi na serikali.Alafu deepbond mtaalamu wahizi mambo ana baishara ya hardware kubwa tu na anafa kituo Cha mafuta ila hataki kutupa abc zabiashara hasa Huku katika kazi zaserikali
Tag huo uziMbona alishatoa kufanya kazi na serikali.
Thread 'Kufanya Biashara na taasisi Changamoto sana, unafilisika kimasihara' Kufanya Biashara na taasisi Changamoto sana, unafilisika kimasiharaTag huo uzi
Uko sahihi 100%. Achukue huu ushauri wako.Uwe na kampun alaf ujisajili nest usirudi nyuma songambele acha kusikiliza maneno yawatu
Zamashule na zahanati zinahitaji uvumilivu nazo? Maana naskia Hela zao huwa ziko tayar katika account zaoKwasasa usumbufu sio mkubwa sana labda halmashauri ila mashuleni kidogo wanawahisha.
Uwe na kampuni yako halafu uende ugavi ukajisajiri nest .ila uwe na mtaji wa kutosha na uvumilivu wa nguvu.
Kila tenda ya serikali kwasasa inaombwa kwenye mfumo wa Nest. Ukijisajiri tenda ni nyingi utakuwa unaziona.
Kwa sasa utaratibu uko poa. Unajipimia tu uombe tenda ngapi na zipi kulingana na uwezo wako. Kama uwezo mkubwa unaomba kila inayopostiwa.Kwasasa usumbufu sio mkubwa sana labda halmashauri ila mashuleni kidogo wanawahisha.
Uwe na kampuni yako halafu uende ugavi ukajisajiri nest .ila uwe na mtaji wa kutosha na uvumilivu wa nguvu.
Kila tenda ya serikali kwasasa inaombwa kwenye mfumo wa Nest. Ukijisajiri tenda ni nyingi utakuwa unaziona.
Hapana. Siku hizi ndo wanalipa kwa haraka.Kipindi Cha nyuma walikua wanalipa pesa chapchap sikuhizi eeeh utaimba lugha zote
Kuna mtu wangu wa karibu anasambaza chakula mashuleni nakumbuka mwaka 2020 kitu kama icho alipewa pesa chap 100m akampa mhasibu 1m akaniambia sikuhizo pesa unaingia chap lakin ucheze sana na mhasibuHapana. Siku hizi ndo wanalipa kwa haraka.