MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Ni kweli. Kipindi cha nyuma wakuu wa shule, wahasibu na wagavi walikula sana rushwa. Wahuni walipiga mno hela. Ila kuna waliofilisika kwa kutolipwa. Binafsi kuna shule niliamua kumwachia tu Mungu maana waligoma kabisa kunilipa... ila wakati huu upuuzi umepungua kama sio kuisha kabisa.Kuna mtu wangu wa karibu anasambaza chakula mashuleni nakumbuka mwaka 2020 kitu kama icho alipewa pesa chap 100m akampa mhasibu 1m akaniambia sikuhizo pesa unaingia chap lakin ucheze sana na mhasibu
Yule mhasibu akaniambia et amejenga sababu ya hizo posho et bila sign yake pesa haitoki mmmh rushwa mbaya na ni nzur pia 😀Ni kweli. Kipindi cha nyuma wakuu wa shule, wahasibu na wagavi walikula sana rushwa. Wahuni walipiga mno hela. Ila kuna waliofilisika kwa kutolipwa. Binafsi kuna shule niliamua kumwachia tu Mungu maana waligoma kabisa kunilipa... ila wakati huu upuuzi umepungua kama sio kuisha kabisa.
Ni matajiri haoYule mhasibu akaniambia et amejenga sababu ya hizo posho et bila sign yake pesa haitoki mmmh rushwa mbaya na ni nzur pia 😀
Sasa hivi pia wameshaanza uhuni NEST. Wanawapanga watu wao na kuwapa bei za kujaza.Ni matajiri hao
Nikweli kabisa hii nimeiskia Tena kwa watu wanoomba wanafuatwa unaambiwa Leo usiku tunapandisha nest vip chezea apo kwenye 35Sasa hivi pia wameshaanza uhuni NEST. Wanawapanga watu wao na kuwapa bei za kujaza.
Na kama ni tenda ya kupeleka vitu unaambiwa usilete hivi na hivi.Nikweli kabisa hii nimeiskia Tena kwa watu wanoomba wanafuatwa unaambiwa Leo usiku tunapandisha nest vip chezea apo kwenye 35
MmhWajuzi wa mambo wazoefu ,tupeni uzoefu kwaliofanya kazi za tenderza serikali hasa zakusuplly materia katika mashule na zahanati pamoja na ujenz wake,zikoje nazo zinakujuana nakucheleweshewa malipo japo pesa ziko kwenye account husika na mashule na mazahanat
unatafuta kufa na sonona na presha bure we mzee angalia michongo mingine hayo wanayaweza hao wenyewe kwa wenyewe ukiingia wewe hulipwi miaka hdi 10 ila wao mzigo wanachukua kabla ya kazi kuanza, hiyo nchi ni ngumu sana.Wajuzi wa mambo wazoefu ,tupeni uzoefu kwaliofanya kazi za tenderza serikali hasa zakusuplly materia katika mashule na zahanati pamoja na ujenz wake,zikoje nazo zinakujuana nakucheleweshewa malipo japo pesa ziko kwenye account husika na mashule na mazahanat