Tendo la Ndoa baada ya kujifungua

Kifulambute

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
2,539
Reaction score
758
habari wana Jamii, jamani naomba mnisaidie ili niweze kumpa ushauri rafiki yangu...maana nimebaki mdomo wazi aliponiuliza hili swali. eti inachukua muda gani baada ya mwanamke kujifungua hadi anapoweza kufanya tendo la ndoa? rafiki yangu ana kama mwezi mmoja toka demu wake ajifungue.
 

hili mbona limeshajibiwa sana humu jf? Search thread zilizopita mkuu
 
Kiutalaam kwa mwanamke aliejifungua kwa njia ya kawaida,viungo vyake vya uzazi hurudi katika hali ya kawaida baada ya majuma sita (siku 42). Ni hapo ndipo anapoweza tena kushiriki tendo la ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…