mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] njoo ledada
Nimecheka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi piaa hadi naonekana chizi
Kaka upo?? Nipo likizo! Tunaweza kutana wapi tucheck jogoo anavyowika mapema???
Acha kuharibu Uzi wawatu we mrundiNipo ' Kamarada ' wangu. Ngoja Kwanza nicheki ratiba zangu nitakutaarifu ila leo kuna Watu wanadhani ' Wapuuzi ' Real Madrid wanabeba Kombe na najua kuna Watu ikifikia Saa 5 Usiku wa leo wanaweza wasiamini macho na masikio yao pale ambapo ' Fantastic ' Captain wa Liverpool FC Jordan Henderson atakaponyanyua Kwapa / Kombe la UEFA Champions League akitoke pande za ' Kiev ' nchini Ukraine.
Sijawahi Kupenda Timu mbovu duniani na ndiyo maana nashabikia sana....
Liverpool FC isipokuwa Bingwa usiku wa leo naogelea kutoka Feri hadi Kigamboni kwenda na kurudi huku nikiwa nimezama tu ndani ya Maji bila kuibuka juu.
- Simba SC ya Tanzania
- Liverpool FC ya Uingereza
- FC Barcelona ya Hispania
- Paris Saint Germain ( PSG ) ya Ufaransa
- Borussia Dortmund ya Ujerumani
- Corinthians FC ya Brazil
- River Plate ya Argentina
- AC Milan ya Italia
- Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini
- Macabi Haifa ya Israeli
- Biashara United ya Mkoani Mara ( Musoma )