Scientifically: Kufanya sex wakati mama ananyonyesha haina madhara yoyote kwa mtoto. Kitu cha muhimu ni kuzingatia usafi tu, ule wa kawaida (japo kuna ambao hawana kawaida ya kuwa wasafi).
Traditionally: nadhani wazee wa zamani walikataza hii ili kulinda maslahi ya mtoto. Kama mwanaume ama mwanamke anataka sex daily, anachoka na kuona hawezi kuamka kunyonyesha kila baada ya masaa mawili,huyo mtoto 'atabemendwa' tu
We piga no problem.Kumbuka CONDOM
Ninavyofahamu mtoto kama ananyonya vizuri na mama yuko tayari kumnyonyesha of course, mama anyonyeshaye hawezi kuona siku zake (normal montly mp). Na kama mama haingii kwenye mp ina maana hawezi beba mimba. Hiyo ni kweli, na nimeshaiprove beyond doubt. Wewe mpe mkeo lishe nzuri na muencourage kumnyonyesha mtoto vizuri, nilisemalo utalihakikisha.
Nadhani kutakuwa na madhara fulani tu, unadhani ingekuwa hamna madhara watu kama kina Mwita 25 wangekuwepo kweli?
Hivi unajua kambaku ni ugonjwa? Sijui kama unahusisha na uchokozi,lol!
siyo kweli, sema anakaa karibia miezi kama mi 5 au 6 au na zaidi au chini ya hapo inategemea na mtu na siyo kipindi chote cha kunyonyeshaNinavyofahamu mtoto kama ananyonya vizuri na mama yuko tayari kumnyonyesha of course, mama anyonyeshaye hawezi kuona siku zake (normal montly mp). Na kama mama haingii kwenye mp ina maana hawezi beba mimba. Hiyo ni kweli, na nimeshaiprove beyond doubt. Wewe mpe mkeo lishe nzuri na muencourage kumnyonyesha mtoto vizuri, nilisemalo utalihakikisha.
Scientifically: Kufanya sex wakati mama ananyonyesha haina madhara yoyote kwa mtoto. Kitu cha muhimu ni kuzingatia usafi tu, ule wa kawaida (japo kuna ambao hawana kawaida ya kuwa wasafi).
Traditionally: nadhani wazee wa zamani walikataza hii ili kulinda maslahi ya mtoto. Kama mwanaume ama mwanamke anataka sex daily, anachoka na kuona hawezi kuamka kunyonyesha kila baada ya masaa mawili,huyo mtoto 'atabemendwa' tu
Thanks for your comment. I have lived and studied in the USA for eight years and never heard about kubemenda mtoto. There are so many misconceptions and myth in our community that really need to be addressed and people be made aware of scientifc facts about these myths.Poor education that we receive from our institutions really does not equip us with proper tools we desparately need to take care of ourselve and those around us.It is because of poor edication and lack of organization and coordination that led to surgical error at Muhimbili few years ago
Hivi unajua kambaku ni ugonjwa? Sijui kama unahusisha na uchokozi,lol!
hopelessthanks for your comment. I have lived and studied in the usa for eight years and never heard about kubemenda mtoto. There are so many misconceptions and myth in our community that really need to be addressed and people be made aware of scientifc facts about these myths.poor education that we receive from our institutions really does not equip us with proper tools we desparately need to take care of ourselve and those around us.it is because of poor edication and lack of organization and coordination that led to surgical error at muhimbili few years ago