Tendo la Ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu

Kuwa na pesa sio baraka mkuu,(usichokijua ni sawa na usiku wa giza),kuna watu wana hizo pesa na hawana raha na amani kabisa,anafikia mahali anatamani hata asingekuwa nazo,unaweza kuwa na pesa na bado ukawa unateseka na laana,mikosi na mabalaa chungu nzima.Aliyenzisha uzi kaongea kifupi sana lakini ukifuatilia alichoongea kiroho yuko sahihi sana...
 
Umefanya uchambuzi wenye mantiki kubwa.

Kongole mkuu
 
Babu yangu alikuwa karani enzi hizo (kwa mujibu wa baba) ila baba alirithi shamba moja tu. Kuna siku zamani huko nilimuuliza bro , inakuwaje babu alikuwa na shamba moja wakati alikuwa karani? Bro akanijibu dogo babu alikuwa mizinguo. Wabibi kibao shamba moja duh wababu wengine walizingua
 
Ulimwengu huu wa teknolojia bado unawaza upuuzi?
 
Kuna limoja jamaa yangu kalipitia kesho yake ofsin kasimamishwa kazi mara kuumwa umwa hadi jamaa alienda kumtukana na limwanamke lenyewe mpaka sasa halijaolewa na lin kazi nzuri tuu
 
Umemaliza kila kitu mkuu. Na haya mambo ya ajabu ajabu bado yapo huku kwetu tu. Kwa wazungu huko hakuna anayewaza na kuchambua mambo katika mtizamo finyu na potofu kama huu. Na yote haya ni sababu tu ya umasikini wetu. Watu wanatafuta kila sababu ya ku-justify umasikini wao. Ndo maana umasikini na ushirikina daima ni chanda na pete. Hata sijui tutajikomboa lini jamani. Sad!
 

Mmh
 

Mikosi sio umasikini pekee.Ni mtambuka.
Kuwa na pesa hakumaanishi huna mikosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…