Tendo la Ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu

kwa kuwa kwenye Biblia imeandikwa hivyo, mimi naamini
lakini hata hawa ndugu zetu wenye mkwanga mrefu wanapewaga masharti ya wanawake kutojihusisha.
so naona kiroho ni mbaya
 
Kweli kabisa mkuu Tena this week nimeingiza ingizo jipya watoto wakali wanne ambao nime WA schedule Hadi mwezi wa Tano mwaka Huu.
# tushapima tayari.
mamayeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Nigaiye mmoja Boss, akiwa na kishuzi na rangi ya ubatani atakuwa muruwa sana
 
Mwanaume kujiundergrade ni ujuha mkuu. Standard ziwepo kwa kweli.
Haujajua tu!

Linapokuja suala la kumpenda mwanamke, lazima wazimu utawale.

Chongo kuliita kengeza na matege kuyaita fasheni, unaelewa maana yake nini?

Wewe unapenda cheupe dawa, mimi nikiona cheusi mangala nachanganyikiwa!

Kwenye kupenda hakuna formula na hiyo harufu ya kibeberu, wengine ndiyo huwaletea mzuka wakahonga na hela kusorolea!

Nani anawaeleza mfumo mzima wa kufanya mapenzi kuna "usafi"?

Na kinyume chake, nani aliyekwambia mfumo mzima wa kufanya mapenzi kuna uchafu?

Hisia zako tu ndiyo zitakufanya udindishe au ulegee!

Endeleeni kujipumbaza, kujifariji ama kupotoshana kwa mambo yaliyo na mkono wa Mungu yasiyohitaji utafiti.
 
SIO MKOSI TU PEKEE NA KIFO PIA MKUU,SIMAANISHI MAGONJWA HAPANA,MIKOSI MIZITO YA KUSABABISHA UMAUTI.
 
Mkuu ungesoma comment niliyoquote kbla ndiyo ungeelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…