Tenga aula CAF, ateuliwa kuwa Makamu wa Rais kwenye Kamati Muhimu..

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,072
Shirikisho la Soka Afrika(CAF) limemteua Mtanzania, Leodegar Tenga kuwa Makamu Rais wa Kamati ya Ufundi na Maendeleo ya Shirikisho hilo.

Tenga aliwahi kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) na nafasi yake kuchukuliwa na Jamal Malinzi baada ya muda wake kukamilika na kuanza kuwania kupata nafasi mbalimballi kwenye shirikisho la Soka Afrika.

 
Hapa ndyo utaona mpira wa
Bongo ukipgwa danadana vzr

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…