Tenga nae amekuwa mwanasiasa: Eti mpira na TV havitenganishwi

matunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
442
Reaction score
426
Tenga Rais wa TFF unasikitisha sana..siku hizi nawe umekuwa mwanasiasa. Eti "football and TV are inseparable" ni mala ngapi timu zetu za taifa zimecheza bila kuoneshwa katika TV....hasa siku za hivi karibuni (Wakuu Tenga aliyasema haya wakati akihojiwa na Mlambo wa supersport kabla ya mtanange wa simba na yanga leo)
 

Hapo kwenye red ni kweli kwenye mashindano yoyote ya soka dunia muzimaaa
 
Ni kweli hata Kaseja alilamikiwa kuwa anakuwa fiti zaidi kwenye mechi zinazooneshwa ktk TV.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…