Tenga: New CECAFA President

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380


Hongera Leodgar Tenga! Zawadi ya watanzania
 
Tenga Mtanzania,
Hongera sana- tuna matumaini makubwa na wewe ktk soka!
 
Congrats! Leodgard Tenga. I hope you will use your new position to raise the standard of football and leadership in Tanzanian clubs as well as East Africa.
 
Hongera Tenga!! Itabidi apelekwe Bungeni kupongezwa!! maana amechaguliwa kutokana na sera za CCM kwenye michezo hahahahahahahahah Makalla na Aggrey Mwanri mpo wapi??? hahahahaha
 
Ni safi kuwa na mcheza mpira wa zamani katika uongozi wa mpira. They know what it takes.
Hongera.
 
Congratulations to Leodegar Chilla Tenga tuna imani na wewe.
 
Hongera Tenga!! Itabidi apelekwe Bungeni kupongezwa!! maana amechaguliwa kutokana na sera za CCM kwenye michezo hahahahahahahahah Makalla na Aggrey Mwanri mpo wapi??? hahahahaha

LOL!...Ushi wa rombo that was a very good one....🙂. Thanks
 



Huyu ni msomi ambaye aliwakilisha taifa katika soca letu wakati ule ambapo vipaji vilikuwa vinakuzwa kuanzia udogoni.

Bravo Tenga.
 
Tenga hongera sana, 'charity starts at home' twaamini soka la Tz litakua chini ya uongozi wako.

All the best.
 
Good news, heshima kwa taifa kama kawaida, alianza yule mwanamama aliyekaribia kuwa Miss World, akaja Richie, majuzi Siba bingwa wa dunia wa kickboxing, sasa Tenga, yote haya under Rais Kikwete,

Mkuu Tenga heshima mbele, weka vitu chini kama enzi zile za mechi ile ya usiku ya ubingwa wa Afrika mashariki na kati against Simba, ninaikumbuka sana ile night, na wakulu wote waliohusika,

Yanga:- Elias Michael, Selemani Said, Boi Idd "Wikens", Leodgar Tenga "Engineer", Mwamba Kapera, Abdulrahaman Juma, Leonard Chitete, Sunday Manara, Kitwana Manara, Gibson Sembuli, Maulidi Dilunga "Mexico"

Simba:- Omar Mahadhi Bin Jabir, Shabaan Baraza, Mohamed Kajole "Machela", Athuman Bin Jumaaa, Choggo Mluya "Chemba Ubwabwa", Athur Mambetta, Abas Dilunga "Sungura", Haidari Abeid "Muchacho", Adam Sabu, Abdallah Kibaden "King", Abdallah Hussein.

Mtangazaji Wenu Wa Matangazo Yanayorushwa Moja Moja kwa moja kutoka uwanja wa Tartan, Zanzibar ni: Abdul Masudi Jalewa, akishirikiana na Ahmed Jongo

Ohhh golden days! haitakuja kurudia tena, anyways mkuu Tenga hongera sana kwa kupata nafasi muhimu sana ya kuisaidia taifa letu ki-soccer, good man, educated, respected, a proven leader, and humble pia maana sitamsahau the day tulipokutana Jela Ukonga, kumuona Rage, na ninajua kuwa kuwa he was an instrument katika kumuombea Rage kwa wakubwa ili aachiwe,

Kama vile mkuu mwingine Juma Nature, anavyohangaika sasa hivi kumuombea Field Marshall Nguza, na familia yake ili nao wawe huru, special respect pia kwa Mamen Nature, kazi yako tunaisikia na utalipwa na Mungu tu,

Mikono Chini kwako Tenga, na bongo oyeeee!
 

Mkuu golini kwa Simba siku hiyo alikuwa Athumani wa Mambosasa (RIP). Miaka ile Bongo kulikuwa na kandanda la hali ya juu, siku hizi tumedorora tu! acha siku hizi jamaa washangilie akina Arsenal, L'pool, Chelsea na MANU.
 
Mkuu golini kwa Simba siku hiyo alikuwa Athumani wa Mambosasa (RIP). Miaka ile Bongo kulikuwa na kandanda la hali ya juu, siku hizi tumedorora tu! acha siku hizi jamaa washangilie akina Arsenal, L'pool, Chelsea na MANU.

wanashingilia si kwa sababu wanaona kwenye TV wakati ule huoni wala husikii kabisa ligi za ulaya huyo ndio nyerere, utasikiliza redio ukitaka usitake na utazijua timu zite zinazoshiriki ligi kuu tanzania nyota nyekundu, simba , yanga sijui na wengine.


leo kila kitu wazi mambo yamegeuka na wala sio zamani wana bali kuliko wa leo
 
Hongera sana Tenga, kuchaguliwa kwako ni kielelezo cha heshima iliyonayo nchi yetu na uongozi wetu. Chini ya uongozi wako tunatarajia mabadiliko makubwa ndani ya ndani ya CECAFA.

Tunautambua uwezo wako uwanjani; enzi hizo, lakini kwenye uongozi bado hatujaona, wengi wetu wanayaona magofu ya kiwanda cha LRT Mbagala ambacho wewe ulikuwa mkurugenzi kwa miaka mingi; bila shaka CECAFA itakuwa salama mikononi mwako.

Hongera Leodgar Chilla Tenga!
 
Elias Michael, Selemani Said, Boi Idd "Wikens", Leodgar Tenga "Engineer", Mwamba Kapera, Abdulrahaman Juma, Leonard Chitete, Sunday Manara, Kitwana Manara, Gibson Sembuli, Maulidi Dilunga "Mexico"

Ni omar Kapera, sio Mwamba kapera
 
Ni omar Kapera, sio Mwamba kapera

Mkuu hilo ndilo lilokuwa jina lake maarufu mtaaani, lakini Omar ndio jina lake la kwenye karatasi,

Mkuu Mzalendo,

Hiyo ilinipita mkuu kuwa Omar Mahadhi alikuwa bado hajatoka Coastal Union ya Tanga na kuingia Simba, umenikumbusha mkuu Athmani Mambosasa, halafu nafikiri nilimsahau pia Willy Mwaijibe, au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…